Monday , 6 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa #LIVE: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, Kinana…
Habari za Siasa

#LIVE: Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, Kinana…

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan
Spread the love

 

CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano mkuu maalum leo Ijumaa tarehe 1 Aprili 2022 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma…(endelea). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Mkutano huo unaongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambao tayari umekwisha kuanza na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali wa ndani na nje ya Taifa hilo.

Lengo la mkutano mkuu huo ni kufanya marekebisho ya Katiba ya CCM yam waka 1977 toleo la mwaka 2020 pamoja na kufanya uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM- Bara ambapo mgombea ni mmoja pekee, Abdulrahman Kinana.

Kinana anatarajiwa kurithi nafasi ya Philip Mangula ambaye jana Alhamisi, mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM alitangaza kung’atuka katika nafasi hiyo.

Fuatilia mkutano huo kupitia MwanaHALISI TV, MwanaHALISI Online na mitandao yetu ya kijamii kwa habari na taarifa mbalimbali

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru...

Habari za SiasaTangulizi

Mkulo afariki dunia, kuzikwa kesho Kilosa

Spread the loveALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

error: Content is protected !!