Sunday , 5 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Mbunge CCM apata ajali Tunduru
Habari za Siasa

Mbunge CCM apata ajali Tunduru

Spread the love

 

MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa (CCM) amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati akiwa kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme ambaye ana ziara leo huko Namtumbo, mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ruvuma … (endelea).

Taarifa zilizofikia Mwanahalisi Online ni kwamba katia ajali hiyo iliyotokea leo mchana, Mbunge huyo aliyekuwa na watu wengine watatu kwenye gari na wote wametoka salama.

Aidha, akizungumza na MwanaHalisi Online, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Simon Maigwa amesema bado hajapata taarifa rasmi kuhusu ajali hiyo kwa kuwa naye yumo kwenye msafara wa ziara hiyo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru...

Habari za SiasaTangulizi

Mkulo afariki dunia, kuzikwa kesho Kilosa

Spread the loveALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

error: Content is protected !!