Thursday , 2 May 2024
Home Kitengo Michezo Simba kukupiga TP Mazembe, Ulimwengu…
Michezo

Simba kukupiga TP Mazembe, Ulimwengu…

Spread the love

 

MABIGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam imewaalika timu ya TP Mazembe ya Congo kuja kunogesha kilele cha Simba Day. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Simba Day itakayoanza 13 Septemba itahitishwq 19 Septemba 2021, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na TP Mazembe.

Siku hiyo itatumiwa na Simba kutambulisha wachezaji wake ambao itawatumiw katika msimu ujao wa mashindano ya ndani na ile ya nje.

Simba ambayo ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo, itaiwakilisha nchi katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

TP Mazembe ambao ni mabingwa mara kadhaa wa Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho, haitakuwa mara ya kwanza kuja Tanzania kwani kupitia michuano hiyo, imekuwa ikija kucheza na timu za Tanzania.

Mara ya mwisho kuja ilikuwa mwaka 2020, ilipokuja kushiriki michuano ya Simba Super CUP.

Kualikwa kwa TP Mazembe kuja Tanzania, kutawarejesha nyumbani wachezaji wa timu hiyo wazaliwa wa Tanzania, Eliud Ambokile pamoja na Thomas Ulimwengu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

Michezo

Usiku wa Ulaya umerejea kibabe kabisa

Spread the love  LIGI ya Mabingwa barani Ulaya imerejea tena na awamu...

Habari MchanganyikoMichezo

Mambo ya Ndani, Ulinzi zang’ara michezo ya Mei Mosi Arusha

Spread the loveRais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini...

error: Content is protected !!