Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa CCM yapata pigo, Meya Shinyanga afariki
Habari za SiasaTangulizi

CCM yapata pigo, Meya Shinyanga afariki

Spread the love

 

CHAMA tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo baada ya meya wake wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila kufariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga … (endelea).

Nkulila ambaye ni Diwani wa Ndembezi amefikwa na mauti usiku wa kuamkia leo Jumatatu tarehe 23 Agosti 2021 wakati akiendelea kupata matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Msiba upo nyumbani kwake mtaa wa Mabambasi kata ya Ndembezi karibu na Kanisa la Moravian.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI TV, MwanaHALISI Online na mitandao yetu ya kijamii kwa habari na taarifa mbalimbali.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Kwahani

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza uchaguzi mdogo...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

error: Content is protected !!