Monday , 6 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Watia nia 78 kuchuana ubunge Kigamboni 
Habari za Siasa

Watia nia 78 kuchuana ubunge Kigamboni 

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Kigamboni
Spread the love

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Dar es Salaam wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatarajia kupiga kura za maoni za ubunge. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea).

Mkutano huo unafanyika leo Jumatatu tarehe 20 Julai 2020 katika ukumbi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere, Kivukoni ambapo wagombea ni 78 akiwamo mbunge anayemaliza muda wake, Dk. Faustine Ndugulile.

Wengine ni; aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na mchekeshaji maarufu nchini Mpoki Mujuni.

Tayari watia nia 30 kati ya 78 wameshajinadi kwa dakika chache  kwa kila mmoja na zoezi hilo bado linaendelea.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TV kwa habari zaidi

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ambwaga Selasini, mahakama yaamuru alipwe fidia

Spread the loveMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru...

Habari za SiasaTangulizi

Mkulo afariki dunia, kuzikwa kesho Kilosa

Spread the loveALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa (CCM), Mustafa...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya afutiwa kesi, ruksa kugombea uongozi

Spread the loveMwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP leo Ijumaa amefuta rufaa...

Habari za Siasa

Serikali yasaka bilioni 3 kujenga daraja Mto Mpiji

Spread the loveSerikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha...

error: Content is protected !!