Friday , 26 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Trump atoa masharti mapya Sudan, Somalia
Kimataifa

Trump atoa masharti mapya Sudan, Somalia

Spread the love

UTAWALA  wa Rais Donald Trump wa Marekani umeweka masharti mapya ya maombi ya kibali ‘Visa’ kutoka kwa mataifa sita ya Kiislamu pamoja na wakimbizi wote.

Masharti hayo ambayo yanawataka kuwa na mtu wanaohusiana ama ushirikiano wa kibiashara na Marekani inayoyahusisha mataifa yaliyo na Waislamu kama vile Iran, Libya, Somalia, Sudan , Syria na Yemen imeangaziwa katika ujumbe uliotumwa katika balozi zote.

Masharti hayo mapya yaliyoanza kufanya kazi siku ya leo yanaelezea mahusiano ya kifamilia kama mzazi, mkeo ama mumeo, mtoto wa kiume ama wa kike.

Masharti hayo ni baada ya Mahakama Kuu nchini Marekani kuidhinisha kwa muda agizo la Rais Trump ambalo lilikosolewa kuwa marufuku kwa Waislamu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!