June 22, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Rais Kagame ‘bosi’ mpya EAC

Spread the love

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kununua ya Africa Mashariki (EAC). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Wajumbe wa mkutano huo leo tarehe 1 Februari 2019 wamemchagua Rais Kagame kushika nafasi hiyo baada ya Rais Yower Museveni wa Uganda kumaliza muda wake.

Rais Kagame amewahakikishia wajumbe wa mkutano huo uliofanyika Arusha kwamba, ataitende haki nafasi hiyo.

error: Content is protected !!