Saturday , 27 April 2024

Day: March 1, 2019

Habari Mchanganyiko

Mamia wajitokeza kuupokea mwili wa Ruge

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba umewasili jioni ya leo terehe 1 Machi 2018 katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa aitosa Chadema, arudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa serikali ya awamu ya nne, Edward Lowassa amerejea CCM akitokea Chadema. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Lowassa amerejea CCM...

Habari za Siasa

Jiji la Dodoma latenga bajeti ya Bil 180

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepitisha bajeti ya Sh. 180 bilioni kwa lengo la utekelezaji wa shughuli za Halmashauri kwa Mwaka ujao wa...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Mbowe aibwaga Serikali Mahakama ya Rufaa

MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kupinga Mahakama Kuu, kusikiliza maombi ya kurejeshewa dhamana kwa wabunge...

Habari za SiasaTangulizi

Kifo kilivyokatisha mpango wa Rais Kikwete kwa Ruge

NIA na dhamira ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa mlezi wa Ruge Mutahabu, mwanahabari aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) yamekatizwa. Anaripoti Mwandishi...

Elimu

Serikali yatangaza ajira za walimu 4,500

SERIKALI imetangaza kuajiri walimu 4,549 wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha 2018/19 ili kupunguza uhaba wa walimu ulipo nchini....

error: Content is protected !!