Daily Archives: February 2, 2019

Rais wa TFF achafua hali ya hewa, Chadema wamvaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kauli ya ukakasi iliyotolewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia juu na kile alichokiita U-Tundu Lissu. ...

Read More »

Sakata la Korosho: Mbunge ajiweka rehani

MBUNGE wa Nchinga kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Hamidu Hassan Bobali, ameituhumu serikali kudhulumu wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … ...

Read More »

Njombe yatikiswa, mtoto mwingine auawa

MTOTO mwingine mwenye umri wa miaka Saba (7), ameuawa leo tarahe 2 Februari, kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana wilayani katika eneo la Lupembe, wilayani Njombe, mkoani humo, kwa madai ...

Read More »

Shilingi ya Tanzania yaporomoka

SHILINGI ya Tanzania kwa kipindi kuanzia Julai hadi Novemba 2018 iliporomoka ambapo Dola ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Sh. 2,276 ikilinganishwa na Sh. 2,235 katika kipindi cha Julai hadi ...

Read More »

Deni la taifa lazidi kupaa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imewasilisha taarifa ya mwaka kuhusu utekelezaji wa majukumu yake katika kipindi cha Januari, 2018 hadi Januari 2019 huku ikionesha kuongezeka kwa deni la taifa. Anaripoti ...

Read More »

Kashfa za serikali zalikwaza Bunge

BUNGE la Tanzania limeonesha kutoridhishwa na namna serikali inavyotekeleza wajibu wake wa kupeleka fedha za miradi kama ambavyo inapaswa kuwa.Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa ...

Read More »

Esther Bulaya: CCM waifilisi JKT

MBUNGE wa Bunda Mjini (CHADEMA), Esther Bulaya, “ameliamsha dude.” Amesema, serikali imekopa mabilioni ya shilingi mashirika ya umma, ikiwamo Jeshi la Kujenga la taifa (JKT). Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma ...

Read More »

Mbunge Chadema atoboa siri ya wizi wa Sh. 2.4 trilioni  

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Mara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Catherine Ruge, “ameivua nguo serikali.” Amesema, kiasi cha Sh. 2.4 bilioni, kitakuwa ama kimeibwa au hakijulikani matumizi ...

Read More »

Sakata la Tril. 1.5 majibu ni haya

BUNGE limetoa ufafanuzi kuhusu ‘upotevu’ wa kisasi cha Sh. 1.5 trilioni zilizoelezwa kutojulikana matumizi yake katika Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka 2016/17. Anaripoti Danson ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram