Saturday , 27 April 2024

Day: November 6, 2018

Habari Mchanganyiko

Polisi wanasa mtandao wizi wa magari ya umma

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 wanaodaiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari,ikiwemo magari ya umma....

Kimataifa

Mkuu wa shule, wanafunzi 79 watekwa nyara

MKUU wa shule pamoja na wanafunzi wa kiume 79 wametekwa nyara na makundi ya waasi katika jiji la Bamenda nchini Cameroon. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Coaster lagonga lori sita wafariki papo hapo

WATU sita wamepoteza maisha huku saba wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria iliyotokea leo tarehe 6 Novemba 2018 maeneo ya Segera mkoani...

Habari za SiasaTangulizi

Ukawa waanza kwa kususa bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge...

Makala & UchambuziTangulizi

Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...

error: Content is protected !!