Daily Archives: August 3, 2017

Halima Mdee ashusha rungu kwa serikali ya JPM

Halima Mdee, Mbunge wa Jimbo la Kawe

HALIMA Mdee Mbunge wa Kawe amekosoa takwimu zinazotolewa na serikali kuhusu ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati inayofanywa ili kunusuru anguko la uchumi, anaandika Faki Sosi. Mdee amesema kuwa kitendo ...

Read More »

Baraza la usalama latoa taarifa kuhusu Burundi

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN)

BARAZA la usalama la Umoja wa Mataifa (UN), limetoa taarifa juu ya hali ya kisiasa nchini Burundi , ikiwa ni moja kati ya hatua zake za kulinda na kudumisha amani ...

Read More »

Al-Shabab yatia doa uchaguzi Kenya

Askari wa Al-Shabab

ZIKIWA zimebaki siku tano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Kenya, hali ya usalama imeendelea kuwapa wasiwasi wananchi kufuatia mashambulizi pembezoni mwa pwani ya nchi hiyo, anaandika Catherine Kayombo. Mashambulizi ...

Read More »

Maonesho ya nane nane yadorora Dodoma

TWALIBU

MAONESHO ya Wakulima ya nane nane mwaka huu yanayofanyika mkoani Dodoma yamedorora, anaandika Dany Tibason. Baadhi ya washiriki waliozungumza na MwanaHALISI online katika maonesho hayo,walisema ni bora kuyafuta. Walisema maonesho ...

Read More »

Lake Oil ‘wapigwa kufuli’ Morogoro

142856_FHOfxE90nyuMLu5mfbmpeFnbsXcETo9_QmvzX4g4Ni0

SERIKALI mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevifungia vituo vinne vya kuuza mafuta, kwa kosa la kukiuka agizo la Rais John Magufuli la kuwataka wafanyabiashara kutumia ...

Read More »

Tume ya Uchaguzi Kenya yalegeza masharti

Wafula Chebukata, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC)

TUME ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC), imeazimia kuongeza muda wa kupiga kura siku ya uchaguzi katika maeneo yenye sheria ya muda wa kutembea, anaandika Catherine Kayombo. Akizungumza katika ...

Read More »

Mnyika amvaa Rais Magufuli, akosoa majadiliano

John Mnyika, Mbunge wa Jimbo la KIbamba

JOHN Mnyika, Waziri Kivuli wa Nishati na Madini amesema Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hakustahili kuongoza timu ya inayoangalia masuala mbalimbali kuhusu mikataba ya madini hapa nchini, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube