Saturday , 27 April 2024

Day: June 28, 2017

Habari za Siasa

Wabunge wapewa chumba cha kunyonyeshea watoto

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewatengea wabunge wanawake wenye watoto eneo maalum la kunyonyeshea watoto wao ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha...

Elimu

La sita, la tano wasoma chumba kimoja

WANAFUNZI wa shule ya msingi Magwalisi wilayani Mbarali mkoani Mbeya, wanatumia chumba kimoja, kwa wakati mmoja wakati wa kufundishwa wanafunzi wa madarasa wa...

Habari za SiasaTangulizi

RITA mgomvi mpya CUF

CUF imetangaza rasmi leo kwamba Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuwa ni “mgomvi” mwingine katika mgogoro wa uongozi unaokikabili chama hicho...

Habari za Siasa

RC Makalla aishangaa Serikali kuu

AMOS Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, ameshangazwa na hatua ya serikali kuu kupeleka fedha Sh. 9.6 bilioni kwa uongozi wa Chuo cha...

Habari Mchanganyiko

Wanaobambikizia kesi wananchi kukiona

SELEMANI Jafo, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), amewataka wakuu wa mikoa na wilaya...

Kimataifa

Marekani yahaha kuwasaka wadukuzi wa mitandao

BARAZA la Usalama la Taifa jijini Washington, Marekani limesema linachunguza shambulio kubwa la kimtandao ambalo limekumba mifumo ya kompyuta duniani kote, anaandika Hamis...

MichezoTangulizi

Takukuru wafunguka kushikiliwa kwa Malinzi, Mwesigwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...

error: Content is protected !!