Friday , 3 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia ateua mabosi wa mahakama
Habari za Siasa

Rais Samia ateua mabosi wa mahakama

Rais Samia Suluhu Hassan
Spread the love

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Jumatano na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhura Yunus imesema kabla ya uteuzi huo, Kainda alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani.

Pia amemteua Eva Kiaki Nkya kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Nkya alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Amemteua Chiganga Mashauri Tengwa kuwa Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Tengwa alikuwa Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Geita,

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Kwahani

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza uchaguzi mdogo...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

error: Content is protected !!