Spread the love KIKUNDI kinachojipambanua katika kupigania rasilimali na uhuru wa nchi,...
By Mwandishi WetuApril 27, 2024Spread the love RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...
By Masalu ErastoApril 27, 2024Spread the loveCHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya...
By Faki SosiApril 26, 2024Spread the love MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim...
By Mwandishi WetuApril 26, 2024
Asante ndugu pole pole kama imeandikwa fungu la kukosa ni la kukosa ni vigumu kufutwa tuache fitina hazina faida
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema “kukosoa na kukosoana, ni silaha ya mapinduzi.” Mimi simuogopi Polepole na hoja zake. Naweza kwenda bega kwa bega na hoja. Je, wewe umeshindwa kutoa hoja yako?
Hatuwezi kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kuzima akili za wengine kwa kisingizio cha fitina.
Hata Mungu alipingwa na asilimia 30 ya malaika.
Je, umerekebisha wapi palipoonwa ni pabovu kwenye nchi yetu ya Tanzania? Sheria zipo, hazitumiwi. Kama kasema wahuni ni wale wasiolipa kodi. Wewe kinakuuma nini?
Mama Samia keshamtuma waziri husika, kaingia bandarini usiku. Mwache Mama apate hoja za pande zote afanye uamuzi wake. Nyinyi mnaonyamazisha watu mnainyima Tanzania maendeleo chanya.
Mama kasema bebeni mabango, lako liko wapi? Humsaudii Mama Samia, unajenga chuki. Kasema, asitupiwe gari bovu, bali aonyeshwe penye makosa ataangalia na kurekebisha.
HONGERA MAMA SAMIA KWA UKOMAVU WA KISIASA NA KIUCHUMI.
Twakupongeza