Thursday , 9 May 2024
Home Kitengo Biashara Pata bonasi za kasino ukicheza promosheni ya Expanse Tournament
Biashara

Pata bonasi za kasino ukicheza promosheni ya Expanse Tournament

Spread the love

 

PROMOSHENI kubwa na maalum kwaajili ya kugawa pesa kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni ipo hewani sasa, unaweza kushinda mpaka 1,000,000/= TZS ukicheza sloti na michezo ya kasino kutoka kwa mtoa huduma wa Expanse. Jisajili Meridianbet kama bado ufurahie promosheni hii yenye kukupa bonasi za kasino kibao.

Huu ni mwezi wa shangwe na mavuno kwa kila mchezaji na mpenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet, wataalam wa kutengeneza michezo mikali ya Kasino kwa kushirikiana na Meridianbet wameanzisha promosheni kwaajili yako itakayokupa utajiri kupitia bonasi za kasino.

Maelezo muhimu ya Promosheni hii ya Expanse.

Promosheni hii imeanza 01.04. 2024 ambapo bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:

    • Battle of Egypt
    • Forest Rock
    • Fortune Farm
    • Lucky’s Betting Shop
    • Maya’s Treasure
    • Piggy Party
    • Spinning Buddha
    • Sticky 777
    • The Book of Eskimo
    • Veni Vidi Vici
    • Wild Corrida
    • Zombie Apocalypse
    • Battle for the Throne
    • Bounty Hunters
    • Capital City Derby
    • Casino Heist
    • Fairy in Wonderland
    • Odd One Out
    • Planet Power
    • Shaolin Crew

Wachezaji watashindana kwa mfumo wa pointi ambapo kila dau la jumla ya TZS 2,500 litatoa pointi 2.  Dau la chini kwa kila mzunguko kwa promosheni hii ni TZS 400.

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:

    • Nafasi ya 1 – TSH 1,250,000
    • Nafasi ya 2 – TSH 750,000
    • Nafasi ya 3 – TSH 250,000
    • Nafasi ya 4 na 5 – TSH 125,000
    • Nafasi ya 6 mpaka 10 – Mizunguko 300 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 11 mpaka 20 – Mizunguko 200 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 21. mpaka 30 – Mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 31. mpaka 40 – Mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya PIA

Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).

Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 16.04.2024.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Moon of Thoth, historia ya Misri ya kale ilipofichwa ndani ya kasino

Spread the love  Nchi ya Misri imebeba karibia asilimia kubwa ya mambo...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

Spread the loveWADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku...

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Spread the love Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament,...

Biashara

Bounty Hunters sloti yenye utajiri Meridianbet kasino

Spread the love Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya...

error: Content is protected !!