Wednesday , 8 May 2024
Home Kitengo Biashara Meridianbet, Tigo waja na promosheni ya Chomoka na Bajaji
Biashara

Meridianbet, Tigo waja na promosheni ya Chomoka na Bajaji

Spread the love

 

MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na kampuni ya huduma za simu Tigo Tanzania kupitia huduma yao ya kuweka pesa ya Tigo Pesa ambapo wamekuja na promosheni kabambe ambayo itadumu kwa mwezi mzima kuanzia Machi 1 mpaka April 31 itakayotoa zawadi za kutosha kila wiki.

Kampuni hizi mbili zimedhamiria kuwafurahisha wateja wao kwani mteja yeyote ambaye ataweza kuweka kiwango cha pesa katika akaunti yake ya Tigo Pesa kuanzia Tshs. 25,000 wataweza kupata mizunguka 10 ya bure kwenye michezo ya kasino kwa mteja wa Meridianbet.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri kwa kushirikiana na Tigo kupitia Promosheni hiyo watakua wanatoa bonasi za asilimia 10 kila wiki na zitawekwa kwenye akaunti za wateja kila wiki, Lakini pia watapatikana washindi watatu kila wiki ambao watatangazwa itakayochezeshwa kila ijumaa watapokea simu za kisasa kwa muda wote wa promosheni.

Kubwa zaidi kwenye kilele cha promosheni itatoka zawadi kubwa ambayo ndio imebeba kaulimbiu ya promosheni ya “CHOMOKA NA BAJAJ” ambapo washindi watatu wa watakabidhiwa Bajaj mpya ambazo zitawasaidia kwenye shughuli zao za kila siku.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Makampuni haya mawili yote yamebobea katika kutoa huduma kwa wateja wao hivo Meridianbet wameonekana kuchanga karata zao vizuri kushirikiana na Tigo katika kuhakikisha promosheni hii inawafikia wateja wake vizuri.

Aidha Meneja wa biashara kutoka kampuni ya Tigo Fabian Felician alitoa maelekezo kwa wateja wa Tigo namna ya kushiriki promosheni hii ya “CHOMOKA NA BAJAJ” “Wateja wa Tigo Pesa wanaweza kushinda zawadi hizi kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri kwa kupiga *150*01#, Chagua Malipo ya Bili, kisha Chagua na Ingiza Namba ya Biashara 444999, ikifuatiwa na kiasi.” Fabian alieleza.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

Biashara

Cheza kwa kuanzia Sh 400 kushinda mgao wa Expanse Tournament kasino 

Spread the love  UKISIKIA bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa...

BiasharaHabari za Siasa

Bunge laitaka Serikali kudhibiti ufisadi miradi ya mkakati

Spread the loveKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuimarisha...

error: Content is protected !!