Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Dk. Mpango ahudhuria mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika
Habari za Siasa

Dk. Mpango ahudhuria mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika

Spread the love

 

MAKAMU Rais Dk. Philip Mpango leo tarehe 5 Septemba, 2022, amewasili Kigali nchini Rwanda Kumwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika mwaka 2022. Anaripoti Juliana Assenga, UDSM … (endelea).

Mkutano huo wa wapinduzi ya kijani Barani Afrika (AGRF 2022) unatarajiwa kufanyika kesho tarehe 6 septemba 2022 ukiwa na lengo mahususi la kujadili hatua madhubuti kwa ajili ya mifumo ya chakula inayostahimili.

Mkutano huo pia utashirikisha wakuu wa Nchi na serikali kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, viongozi wa Taasisi na Jumuiya za kimataifa pamoja na wadau wote wa kilimo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

Spread the loveWAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza...

Habari za Siasa

Mavunde aomba bilioni 231.9 bajeti wizara ya madini

Spread the loveWAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

error: Content is protected !!