Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Samia ateua Gavana BoT, apangua wizara ya fedha
Habari Mchanganyiko

Samia ateua Gavana BoT, apangua wizara ya fedha

Spread the love

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo Emanuel Mpawe Tutuba kuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Tutuba ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango amechukua nafasi ya Profesa Florence Luoga ambaye amemaliza muda wake.

Katika taarifa iliyotolewa leo tarehe 7 Januari, 2023 imeonesha pia amemteua Dk. Natu El Maamry Mwamba kuwa Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango akichukua nafasi ya Tutuba.

Dk. Mwamba alikuwa mhadhiri mwandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya uendeshaji wa kiwanja wa ndege Kilimanjaro (KADCO).

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari Mchanganyiko

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

Spread the loveMKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa...

error: Content is protected !!