Friday , 3 May 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Uundaji wa nyuklia China kuna athari gani kwa India
Kimataifa

Uundaji wa nyuklia China kuna athari gani kwa India

Spread the love

RIPOTI ya Usalama kuhusu maendeleo ya Jeshi la Watu wa Jamhuri wa China iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani ninaonyesha kuwa jeshi hilo limeongeza uzalishaji wa vichwa vya nyuklia ambapo inakadiriwa kufika silaha 1,000 mwaka 2030. Imeripotiwa na ukurasa utafiti na masuala ya kiusalama  katika bara la Asia  ORCA … (endelea).

Waachambuzi wa masuala ya usalama wanaitaja hali hiyo kuwa inaweza kuwa tishio kwa jirani zao taifa la India kutokana na utamaduni wa uchina kufanya uchokozi kwenye mipaka ya nchi hizo mbili.

India inapakana na China kwa upande wake wa Kaskazini jambo  ambalo litajwa kuwa linaweza kuzua hofu au kutoa changamoto ya uimarishaji vikosi vyake.

Wanaduru wanaeleza kuwa China imejikita kwenye utengenezaji wa silaha hizo ili kujihami dhidi ya Marekani pia kujenga uwezo wake wa kujilinda.

Lakini mtazamo wa hofu kwenye mpaka wa India upo palepale kwa kuwa China haitokoma kufanya uchokozi mipakani.

Wachambuzi wa masuala ya usalama duniani wameipa hadhari India kwa kuishauri kujiweka imara kijeshi kujimarisha hata ikitamani kulipa kisasi basi itakuwa imara zaidi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifa

Mwanamke Rwanda ataka kupambana tena na Kagame

Spread the loveKIONGOZI wa kihistoria wa upinzani nchini Rwanda, Victoire Ingabire Umuhoza,...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

error: Content is protected !!