Tuesday , 30 April 2024
Home Kitengo Biashara William Kallaghe astaafu utumishi Benki ya NBC
Biashara

William Kallaghe astaafu utumishi Benki ya NBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (Katikati) akipokea hati ya makabidhiano ya ofisi kutoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano na Serikali na Msemaji wa benki hiyo, William Kallaghe (Kulia) ambae amestaafu utumishi wa benki hiyo huku nafasi yake ikichukuliwa na Bw Godwini Semunyu (Kushoto). Kallaghe amestaafu baada ya kuitumikia benki hiyo kwa miaka 18 akihudumu katika nafasi tofauti. Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Spread the love
Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano na Serikali na Msemaji wa benki hiyo, William Kallaghe (wa pili kulia) akikabidhi nyaraka za kiofisi kwa Mkuu wa Idara hiyo kwasasa, Godwini Semunyu (wa pili kushoto) baada ya Kallaghe kustaafu utumishi wa benki hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 18 akihudumu katika nafasi tofauti.Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Benki hiyo, NeemaRose Singo (Kulia) na Meneja Chapa na Mawasiliano wa Benki ya NBC, David Raymond (Kushoto)

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Meridianbet Expanse Tournament ushindi rahisi  

Spread the love  Jisajili na Meridianbet kisha uwe wa kwanza kupata taarifa...

Biashara

Mbinu bora za kubeti kwa mafanikio

Spread the love  MIONGONI mwa burudani zinazidi kupata umaarufu ulimwenguni, kubeti katika...

Biashara

Maisha ya kasino ni furaha, cheza Book of Eskimo kujichukulia utajiri 

Spread the love  KUPNGA ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia...

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

Spread the love  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa...

error: Content is protected !!