Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko TANESCO: Tunaomba mtuvumilie
Habari Mchanganyiko

TANESCO: Tunaomba mtuvumilie

Mafundi umeme wakiwa kazini
Spread the love

 

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limewaomba Watanzania kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho umeme unakatika kila mara kutokana na mvua na upepo mkali unaoharibu miundombinu yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam  .. . (endelea).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 22 Januari, 2022,kwa umma na Ofisi ya Uhusiano- Makao Makuu Dodoma, imesema upepo mkali na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo tofauti nchini, miundombinu ya umeme imeathirika kwa kiasi kikubwa.

Pia imesababisha baadhi ya wateja wao kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti.

“Tunawaomba uvumilivu wenu wapendwa wateja wakati mafundi wetu kote nchini wanaendelea na kazi ya kurekebisha miundombinu hiyo ili kurejesha huduma ya umeme. Tunaomba radhi wateja wetu kwa usumbufu unaojitokeza,” aimesema taarifa hiyo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

Habari Mchanganyiko

Chongolo aonya viongozi vijiji kutouza NIDA kwa wageni

Spread the loveMKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amewaonya viongozi wa...

error: Content is protected !!