KESI ya jinai iliyopangwa kufunguliwa dhidi ya aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, imetinga kwa Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Taarifa zilizothibitishwa na wakili wa muombaji, Hekima Mwasipu zinasema, uamuzi wa kulipeleka suala hilo kwa Jaji Mfawidhi, umetokana na hatua ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, kugoma kuirejesha tena kesi hiyo mahakamani.
Undani wa habari hii, soma Gazeti la Raia Mwema la leo Ijumaa, 24 Desemba 2021, kupata sababu zilizokwamisha kuirejesha pamoja na kilichotokea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
WHICH NAME ALWAYS PRODUCES NICE WOMEN FOR MARRIAGE AS REPARATION OF FIRST LADY!
1. LISA
2. MARGRATE
3. MARRY
4. CATHELINE
5. QUADRIYAH
6. ELIZABETH
7. JOSEPHINE
8. JANET
9. SASHA
10. PRISCA
11. ADELA
12. JOYCE
13. NYAMWIZA
14. MAYA
15. ADELAH
16. ZAWAD
17. GIFT
18. SALIMA
19. HALIMA
20 ESTER
21. ANNA
22. ANASTAZIA
23. SARAH
24.
POWER OF WOMAN ON NAMES?