Monday , 6 May 2024
Home Kitengo Michezo Wafanyakazi Benki ya Exim washiriki NMB Marathon kusaidia matibabu ya fistula
Michezo

Wafanyakazi Benki ya Exim washiriki NMB Marathon kusaidia matibabu ya fistula

Spread the love

 

KATIKA kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania hii leo tarehe 25 Septemba 2021, wameungana na maelfu ya watanzania wengine akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mbio hizo zilikuwa na kauli mbiu ‘Mwendo wa Upendo,’ zikilenga kukusanya kiasi cha Sh . 1 bilioni ili kufanikisha mpango huo.

Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakijipongeza na medali zao baada ya kushiriki mbio za Hisani za NMB Marathon

Mbali na kushiriki mbio hizo Benki hiyo pia ilitoa mchango wa fedha kiasi cha Sh Mil 10 kwa waandaaji wa mbio hizo  ili kuunga mkono jitihada hizo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya...

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love Ijumaa ya leo ambapo mechi mbalimbali zinaendelea Duniani Meridianbet...

Michezo

Europa na Conference kukupatia pesa ndefu leo

Spread the love  ALHAMISI ya leo tutaenda kushuhudia mitanange ya kukata na...

error: Content is protected !!