Friday , 3 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Polisi wamdaka Mbunge Kubenea akiwa hospitali Dar 
Habari za Siasa

Polisi wamdaka Mbunge Kubenea akiwa hospitali Dar 

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo
Spread the love

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, polisi wenye silaha wamezingira hospitali  ya Agha Khan aliyokuwa ameenda kupata huduma ya matibabu,

Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea na kumsubiri atibiwe kisha kuondoka naye.
Taarifa zinasema polisi hao wameelekea kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam ingawa haijajulikana wanapompeleka na kwa kosa gani.

Wiki iliyopita Spika Job Ndugai aliviagiza vyombo vya dola kuwakamata Kubenea pamoja na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na kuwafikisha mbele ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama.

TUTAWAJUZA ZAIDI

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

Habari za Siasa

Tume huru ya uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Kwahani

Spread the love  TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetangaza uchaguzi mdogo...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Biteko aagiza utoaji huduma saratani usiwe wa kibaguzi

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

error: Content is protected !!