Wednesday , 8 May 2024

Day: October 21, 2020

Habari za Siasa

IGP Sirro: Magaidi 300 walivamia Mtwara

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania yawaonya viongozi wa dini

SERIKALI ya Tanzania, amewaonya viongozi wote wa dini na jumuiya za kijamii kuepuka kutoa matamko ya kisiasa yenye lengo la kuhamisha na kuelekeza...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaongeza siku mbili kuapisha mawakala

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza siku mbili zaidi za kuapisha mawakala wa vyama vya siasa watakaosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...

Kimataifa

Waandamanaji wamiminiwa risasi za moto Nigeria

NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi...

Kimataifa

Mauaji ya Ndadaye: Rais Burundi afungwa maisha

PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior...

Habari za Siasa

Zitto: Katiba ACT-Wazalendo haijavunjwa, ‘tumpigie kura Lissu’

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameendelea kuwaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 28 Oktoba 2020 kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea...

Habari za Siasa

Kubenea afungiwa siku 7

KAMATI ya Maadili Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam imemfungia mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, kufanya kampeni kwa...

Habari za Siasa

Majaliwa: Reli ya kimataifa Mtwara- Mbambabay kujengwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali inataka kuanza ujenzi wa reli...

error: Content is protected !!