Daily Archives: October 14, 2020

Askofu Gwajima ‘ambeba’ Mdee mbele ya JPM

ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesifu miradi iliyotekelezwa jimboni humo kwa mwaka 2015 – 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).  ...

Read More »

Waziri Kabudi apata ajali

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amepata ajali ya gari mkoani Morogoro leo Jumatano tarehe 14 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Akizungumza nje ...

Read More »

Lissu: Rais Magufuli amebakiza siku 14 Ikulu

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Rais John Pombe Magufuli amebakisha siku 14 kubaki Ikulu, kwa kuwa hatoshinda katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Ligi Kuu VPL kurejea tena leo

LIGI kuu soka Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa kupigwa jumla ya michezo minne katika viwanja tofauti mara baada ya mapumziko ya michezo ya kirafiki na kimashindano ya kalenda ya ...

Read More »

Lissu atumia mtumbwi kuwafikia wapigakura

MSAFARA wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema umelazimika kutumia mtubwi kutoka Kisorya mkoani Mara kwenda Ukerewe Mkoa wa Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mara … (endelea) Leo Jumatano ...

Read More »

IGP Sirro awaangukia wanasiasa  

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewasihi viongozi wa vyama vya siasa na wagombea mkoani Mara, kutotumia vikundi vya vijana kufanya matukio ya uvunjifu wa amani katika ...

Read More »

Wakuliwa watakiwa kupewa elimu sahihi ya matumizi ya mbolea

NAIBU Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba amewataka wadau mbalimbali wa maendeleo, maafisa ugani na watafiti kuendelea kujipanga kimkakati kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea na pembejeo zingine ili kuwafanya ...

Read More »

Msafara wa Lissu warushiwa mawe Chato

MSAFARA wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu umepigwa mawe na watu wasiojulikana Chato mkoani wa Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Geita … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!