Friday , 26 April 2024

Day: May 27, 2020

Habari Mchanganyiko

Bunge labainisha mambo nane yanayotafuna halmashauri

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) nchini Tanzania, imetaja changamoto nane zinazopelekea matumizi mabaya ya fedha za...

Afya

CCBRT wajitosa vita ya corona

MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150...

Afya

Madaktari Tanzania watoa tathimini ya ugonjwa wa corona

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa ya ugonjwa wa COVID-19 hasa kipindi hiki ambacho wanafunzi wa vyuo na...

Michezo

Ligi Kuu Zanzibar kurejea Juni 5

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu humo kuanzia Juni 5, 2020 baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi...

Habari Mchanganyiko

Mashtaka ya Idrisa Sultan haya hapa

IDRIS Sultan, msanii wa vichekesho na mwenzake Innocent Maiga, wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za makosa ya mtandaoni. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...

Afya

Wagonjwa wa corona Z’bar wabaki 19, kidato cha sita kurejea Juni 1

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imetangaza kuregeza baadhi ya mambo wakati huu wa mapambano ya ugonjwa wa COVID-19 ikiwemo, kufungua shule kwa...

Kimataifa

Mtu mweusi afanyiwa unyama Marekani

GEORGE Floyd (46), raia mweusi wa Marekani, ameuawa kwa kukandamizwa shingo na polisi mzungu wa Jiji la Minnesota, polisi wanne wamefukuzwa kazi kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Takukuru yaanza kuichunguza Chadema, vigogo wahojiwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

error: Content is protected !!