Daily Archives: January 7, 2020

Mazishi ya Soleiman; 30 wapoteza maisha

ZAIDI ya watu 30, wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika msongamano wa watu, waliojitokeza kumzika Qasem Soleiman, aliyekuwa kiongozi mwandamizi wa Jeshi la Irani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). ...

Read More »

Mchezaji Bora Afrika kujulikana leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo linatarajia kutoa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2019, katika hafla inayotarajia kufanyika leo mjini Hurghada, Misri. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Meya Isaya akalia kuti kavu

MEYA wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Chadema), amekalia kuti, kufuatia hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), “kumsukia zengwe,” kutaka kumng’oa katika nafasi yake. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Kesi ya Tito: Utetezi waja na rai mpya kwa serikali

UPANDE wa utetezi kwenye kesi namba 137/2019, inawamkabili wanaharakati Tito Magoti na Theodory Giyan, umetoa rai kwa serikali kutokamata watuhumiwa bila kufanya upelelezi. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Rai hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Fatma Karume ampa ‘dawa’ JPM

FATMA Karume, mwanasheria wa Mahakama Kuu na Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) amesema, ili mahakama ziwe huru, watendaji wake hawapaswi kuteuliwa na muhimili mwingine. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!