Saturday , 27 April 2024

Day: November 14, 2019

Habari Mchanganyiko

Kamati ya Ukimwi Moro kutoa elimu ujasiriamali

WAJUMBE wa Kamati ya Ukimwi, Manispaa ya Morogoro, wanajipanga kutoa elimu ya ujasiriamali, kwa makundi mbalimbali wakiwemo vijana. Anaandika Christina Haule, Morogoro … (endelea)....

Habari za Siasa

LHRC: 43% ya wafanyakazi hawajui haki zao

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga amesema, asilimia 43 ya wafanyakazi waliowahoji, hawajui haki zao. Anaandika...

Habari za Siasa

Nasikia naitwa polisi, ngoja niende – Lema

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, leo tarehe 14 Novemba 2019 amesema, amepewa taarifa za wito wa Jeshi la Polisi wilayani Hai, Kilimanjaro....

Habari za Siasa

Spika Ndugai ‘anyonga’ swali la Mbunge Chadema

SWALI la papo kwa papo Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, ‘limenyongwa’ juu kwa juu na Job Ndugai, Spika...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Jafo ‘ashikwa shati’

IMANI kwa Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa (TAMISEMI), imeanza kutoweka. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yajihami kimataifa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezitaka Jumuiya za Kimataifa kupuuza malalamiko ya vyama vya wapinzani nchini, kwamba vinahujumiwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na...

error: Content is protected !!