Friday , 26 April 2024

Day: September 10, 2018

Kimataifa

Hili ndio chimbuko la uadui wa Israeel, Iran

TANGU kufanyika kwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979, ambapo viongozi wa kidini wenye msimamo mkali walichukua mamlaka na kumaliza utawala wa Kifalme...

Michezo

Meneja wa Simba atupwa ‘jela’ ya soka

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) kupitia mwenyekiti wake Hamidu Mbwezeleni imemfungia Meneja wa Simba, Robert Richard kutojihusisha na...

Habari Mchanganyiko

Kitengo cha kusaka masoko ya nje ya mazao chaanzishwa

SERIKALI imeanzisha kitengo maalum cha kitakachowezesha kupatikana kwa masoko sahihi ndani na nje ya nchi ili kuwafanya wakulima kutozalisha kwa mazoea bali kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kumtetea mkandarasi kwamponza Waziri, JPM amtolea uvivu

RAIS John Magufuli amemchimba mkwara Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele kwamba atamfukuza kazi endapo mkandarasi wa ujenzi wa daraja...

Habari za SiasaTangulizi

Kucha na kope bandia marufuku bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Job Ndugai, amepiga marufuku wabunge wanawake kuingia bungeni wakiwa wamebandika kucha na kope za...

Kimataifa

Trump aichimba mkwara mzito mahakama ya ICC

UTAWALA wa Rais wa Marekani, Donald Trump umetishia kuchukua hatua kali dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), ikiwemo kuwawekea...

error: Content is protected !!