Friday , 26 April 2024

Day: May 21, 2018

Habari Mchanganyiko

Mke wa Mwandishi Kibiki amtafuta JPM

Tobina Emmanuel, ambaye ni Mkewe Emmanuel Kibiki yule mwandishi wa habari wa Iringa, Makambako, aliyevamiwa usiku wa manane hivi karibuni, amewaomba waandishi kusaidia...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara Moro wapigwa marufuku kupanga biashara ardhini

WAFANYABIASHARA ndogondogo wanaopanga biashara zao chini katika maeneo mbalimbali Mkoa wa Morogoro wamepewa siku 14 kuhakikisha wanaweka bidhaa zao kwenye meza ili kuepuka...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema asikitishwa na majibu ya mawazili

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzana Mgonukulima (Chadema) amesema anasikitishwa na serikali kutoweza kujibu maswali kwa ufasaha na badala yake wanajibu kisiasa. Anaripoti Dany...

Habari za Siasa

Kubenea, Sugu waibana serikali makosa ya mtandao

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini itapeleka bungeni muswada wa kuifanyia marekebisho sheria ya makosa ya mtandao kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu alisimamisha Bunge kwa muda

KISHINDO cha Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), kimesimamisha shughuli za Bunge kwa muda wa takribani dakika sita ikiwa ni mapokezi yake...

error: Content is protected !!