Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Mrisho Mpoto amkosha Rais Samia
Habari Mchanganyiko

Mrisho Mpoto amkosha Rais Samia

Spread the love

 

RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kufurahishwa na utendaji kazi wa balozi wa maji nchini ambaye ni msaani maarufu wa mziki wa kughani mashairi, Mrisho Mpoto na kumtaka kuendelea na kazi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Rais Samia alimteua Mpoto kuwa balozi wa maji wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji jijini Arusha baada ya kuonesha umahiri mkubwa wa kuijua miradi mingi ya maji iliyotekelezwa na Serikali.

Akizungumza leo Jumanne tarehe 22 Machi 2022 kwenye uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi-Chalinze-Mboga, Rais Samia amesema cheo alichopewa Mpoto cha uhandisi kinamfaa kwa namna anavyoijua miradi ya maji.

“Enjinia Mpoto kweli hii title (cheo) inakufaa sana maana nilipopendekeza upewe ubalozi huu nadhani ni mwezi tu tukio lile na leo lakini miradi yote ya Tanzania unaijua endelea baba kuzunguka, endelea kusema,” amesema Rais Samia.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoTangulizi

Kimbunga “HIDAYA” chaendelea kuimarika, wananchi wapewa tahadhari

Spread the loveMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

error: Content is protected !!