Thursday , 9 May 2024
Home Kitengo Biashara Deuces Wild Poker kasino mchezo rahisi wa karata 
Biashara

Deuces Wild Poker kasino mchezo rahisi wa karata 

Spread the love

 

KARATA moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni na bonasi za kasino buree.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Deuces Wild Poker

Unapoanza kuucheza mchezo huu wa kasino ya Mtandaoni. Hutakiwa kuwa na mawazo mengi ni kitendo cha kutuliza akili na kuwaza ni namna gani utakula karata za mchezaji wa Deuces Wild Poker, hata kwa wale wanaoanza kucheza kasino wana nafasi kubwa tu ya kushinda.

Hatua ya kwanza: Chagua idadi ya mizunguko unayotaka kucheza, unaweza kuchagua kati ya 1, 5, 10, 50 au 100. Baada ya kuchagua mizunguko, utapelekwa moja kwa moja kwenye mchezo na utaweza kuchagua kiasi cha sarafu “coin” unazotaka kucheza, ni kuanzia 1 mpaka 5 lakini kila mstari huwa na kiwango chake cha sarafu. Weka dau kubwa ili kushinda ushindi mkubwa Zaidi unapocheza sloti hii ya kasino ya mtandaoni.

Ili kuanzisha mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unatakiwa kubonyeza kitufe cha “Deal” ambacho kitakupa karata tano mkononi, unaweza kuchagua zile za kucheza na zile za kuzihifadhi kwa mzunguko unaofuata. Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa kushirikiana na Habanero wamekupa chaguo la “Auto Hold” ambalo linakusaidia kuchagua karata za kuhifadhi pembeni kwa matumizi ya baadae ya sloti hii.

Bila kusahau kasino ya mtandaoni hii Deuces Wild Poker inatoa nafasi kwa wachezaji kushinda mpaka mara 250 ya dau linalotumika kucheza. Ingia mchezoni na hatojutia kuijachagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Expanse Tournament kasino mzigo umeongezwa hadi mil 400/=

Spread the love Jiunge na Meridianbet kasino kufurahia promosheni kubwaya Expanse Tournament,...

Biashara

Bounty Hunters sloti yenye utajiri Meridianbet kasino

Spread the love Congo DR inasifika sana kwa wingi wa madini ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kuwakopesha wajasiriamali 18.5bn/- kupitia NMB

Spread the loveSerikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya...

error: Content is protected !!