Sunday , 25 February 2024
Home Gazeti Tangulizi Chadema watishia ‘Nyau’ kuhusu Ukuta
Tangulizi

Chadema watishia ‘Nyau’ kuhusu Ukuta

Vicent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema
Spread the love

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA), anaandika Victoria Chance.

Akijibu maswali ya waandishi wa habari Katibu Mkuu wa Chadema, Vicent Mashinji amesema, suala la Ukuta ni endelevu na siyo kufanya mikutano na mandamano pekee.

Amesema wananchi wengi wanapenda tudai katiba yetu kwa nguvu, lakini sisi kama chama tuna njia ambazo tumeziandaa.

Njia ya kwanza wanahoja binafsi ambayo italezea maboresho ya tume ya uchaguzi ambayo itawasilishwa bungeni.

“Pia tunatumia njia za kidiplomasia na kidemokrasia kuhakikisha kwamba suala hili linafika mwisho wake na endapo njia hizi hazitafikia lengo tutawaomba wananchi wachukue uongozi katika suala hilo,’’ amesema

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Samia atoa pole ajali iliyoua 25, kujeruhi 21 Arusha

Spread the loveRais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

25 wafariki dunia katika ajali Arusha

Spread the loveWatu 25 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Biteko afuta likizo watumishi Tanesco, bosi Morogoro yamkuta

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto...

Habari za SiasaTangulizi

‘Asiyeamini sanamu ya Nyerere amuulize Madaraka’

Spread the loveNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...

error: Content is protected !!