Wednesday , 8 May 2024
Home Kitengo Michezo Beti na Meridianbet mechi za UEFA leo
Michezo

Beti na Meridianbet mechi za UEFA leo

Spread the love

Leo hii kipute cha Ligi ya mabingwa barani Ulaya kinaendelea kwa michezo ya marudiano ambapo kuna timu zinataka kupindua meza na zingine zinatafuta sare kufuzu hatua ya Robo fainali.

Leo hii kutakuwa na mechi ya kisasi kabisa ambapo Bayern Munich chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel watakuwa Allianz kusaka ushindi mbele ya Lazio ya Maurizo Sarri ambaye mechi ya kwanza alishinda bao 1-0. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.25 kwa 10.78.

Ikumbukwe kuwa Bayern ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita ya ligi akiwa ugenini huku akiwa na nafasi ndogo ya kuchukua kombe hilo la Bundesliga. Pia Thomas Tuchel ana presaha kubwa sana ambapo asiposhinda mechi hii ya leo ya kufuzu robo fainali mabmbo yatazidi kuwa magumu kwake. Je nani kwenda hatua inayofuata ligi ya mabingwa. Beti hapa.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine hii leo yenye maokoto kibao ndani ya meridianbet ni hii hapa ambayo inawakutanisha wenyeji Real Sociedad kutoka Hispania dhidi ya PSG ya Ufaransa, huku mara ya kwanza vijana wa Enrique waliondoka na ushindi wa mabao 2-0 hivyo mlima upo juu kidogo. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.30 kwa 2.99.

Ikumbukwe kuwa PSG haijawahi kuchukua kombe hili huku mara ya mwisho walipoteza fainali mbele ya Munich. Je Enriqueanaweza akawapeleka wapi Paris msimu huu ambao ndio vinara wa ligi kule Ligue 1? Jisajili na ubashiri sasa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Piga pesa na mechi za UEFA

Spread the love  HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali...

Michezo

Idris Sultan anogesha msimu wa 3 wa Bridgerton

Spread the loveSTAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha...

Michezo

Ligi mbalimbali za pesa kuendelea leo

Spread the love JUMAPILI ya leo imekaa kipesa tuu yani baada ya...

Michezo

Usiishie kuangalia tu game za leo, piga na mkwanja na Meridianbet

Spread the love  LIGI mbalimbali barani ulaya zitarejea tena Jumamosi ya leo...

error: Content is protected !!