Wednesday , 8 May 2024
Home Habari Mchanganyiko UNICEF wateta na TEF, “Tz ina mazingira mazuri kulinda watoto”
Habari Mchanganyiko

UNICEF wateta na TEF, “Tz ina mazingira mazuri kulinda watoto”

Spread the love

MKURUGENZI Mkuu wa Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Naysan Sahba amesema Tanzania ina mazingira mazuri ya kulinda haki za watoto. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)


Sahba ametoa kauli hiyo leo tarehe 5 Mei 2023 alipokutana na baadhi ya wahariri kutoka Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na kufanya mazungumzo kuhusu majukumu yanayofanywa na shirika hilo pia miradi ya UNICEF na TEF.

“Amani iliyopo Tanzania imeweka mazingira mazuri ya utekelezaji na ulinzi wa haki za watoto, ni tofauti na nchi kama Syria, Yemen, Sudan na kwingine.


“Naona mazingira mazuri katika ulinzi wa haki za watoto katika utawala wa Rais Samia (Suluhu Hassan),” amesema.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Spread the loveKisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi...

Habari Mchanganyiko

Mafunzo kwa bodaboda 395 yamkuna Meya Dodoma

Spread the loveNAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Asma Karama amepongeza mafunzo...

Habari Mchanganyiko

Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya

Spread the love   RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Samia...

error: Content is protected !!