Wednesday , 8 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Balozi Sokoine ateta na ujumbe wa PanAfrican Energy
Habari Mchanganyiko

Balozi Sokoine ateta na ujumbe wa PanAfrican Energy

Spread the love

KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine leo tarehe 15 Juni, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Panafrican Energy Tanzania Ltd katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Anaripoti mwandishi Wetu …  (endelea)

Ujumbe wa Kampuni ya African Energy Tanzania Ltd umeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Andrew Hanna ambapo viongozi hao pamoja na mambo mengine, wamejadili fursa za biashara na uwekezaji katika sekta ya gesi.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoMichezo

Kengold wakabidhiwa kombe NBC Championship

Spread the loveMdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia: Matumizi ya nishati safi sio anasa, ladha ipo

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya nishati safi kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Spread the loveBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano...

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Spread the loveKisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi...

error: Content is protected !!