
KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine leo tarehe 15 Juni, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Kampuni ya Panafrican Energy Tanzania Ltd katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Anaripoti mwandishi Wetu … (endelea)
Ujumbe wa Kampuni ya African Energy Tanzania Ltd umeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Andrew Hanna ambapo viongozi hao pamoja na mambo mengine, wamejadili fursa za biashara na uwekezaji katika sekta ya gesi.
More Stories
Shaka atembelea MwanaHALISI, Raia Mwema
Barrick ilivyoshiriki katika kuadhimisha Siku ya Canada
PURA yaanzisha kanzidata