Sunday , 28 April 2024
Home Kitengo Biashara NMB yapata tuzo wiki ya ununuzi wa umma
Biashara

NMB yapata tuzo wiki ya ununuzi wa umma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper (kulia) Tuzo ya Shukrani kwa Benki hiyo kudhamini wiki ya Ununuzi ambayo inafanyika jijini Arusha.
Spread the love

BENKI ya NMB nchini Tanzania imekabidhiwa Tuzo ya Shukrani kwa kudhamini ‘wiki ya ununuzi wa umma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea).

Wiki hiyo ilianza jana Alhamisi tarehe 5 Mei 2022 na itahitimishwa jana Jumamosi jijini Arusha ikiwa na kauli mbiu ‘matumizi ya teknolojia katika kubiresha ununuzi wa umma.’

Tuzo hiyo imekabidhiwa kwa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Dismas Prosper na Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

Majaliwa ameipongeza NMB kwa udhamini walioutoa kwenye wiki hiyo muhimu kwa ujenzi wa taifa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Sloti ya Mega Jade kasino njia 10 za malipo unaposhinda

Spread the love  TUNAKULETEA mchezo wa kasino wa kufurahisha sana ambapo unapewa...

Biashara

Orb of Destiny kutoka Meridianbet kasino ushindi kwa njia 14  

Spread the love  ORB of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa...

Biashara

Jiandalie Strawberry Cocktail yako nyumbani huku unacheza kasino 

Spread the love  UTAANDAA matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe...

Biashara

420 Blaze It chimbo jipya la kuchota mihela Meridianbet kasino 

Spread the love  JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10?...

error: Content is protected !!