Thursday , 2 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Faru Rajabu mwenye miaka 43 afariki Tanzania
Habari Mchanganyiko

Faru Rajabu mwenye miaka 43 afariki Tanzania

Faru akiwa kwenye hifadhi za Ngorongoro, mkoani Arusha
Spread the love

 

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (Tanapa), leo Jumatatu tarehe 21 Machi 2022 limetangaza kifo cha Faru Rajabu mwenye umri wa miaka 43. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Taarifa ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi- Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete amezungumzia kifo hicho kilichotokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

NEMC yatoa elimu matumizi sahihi ya zebaki kwa wachimbaji

Spread the loveBARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Oryx gesi yagawa mitungi, majiko 100 kwa waandishi wa habari Dar

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gesi Tanzania imegawa mitungi 100 ya gesi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

Spread the loveWAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza...

Habari MchanganyikoMichezo

Wanamichezo Mei Mosi wachangia wahitaji vitu vya mil. 11.5

Spread the loveWanamichezo wanaoshiriki Michezo ya Mei Mosi Taifa 2024 jijini Arusha...

error: Content is protected !!