Friday , 3 May 2024
Home Habari Mchanganyiko Basi la abiria lapata ajali Songwe
Habari MchanganyikoTangulizi

Basi la abiria lapata ajali Songwe

Spread the love

 

BASI la Kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari kutoka Tunduma kwenda Dar es Salaam asubuhi ya leo Jumatatu tarehe 14 Machi 2022, limepata ajali maeneo ya Senjele mkoani Songwe likiwa safarini kwenda jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe … (endelea).

Katika picha ambazo zimesambaa mitandaoni zinaonesha basi hilo likiwa limeanguka  na matairi yakiwa juu na abiria wanahangaika kutoka ndani ya basi hilo.

Haijafahamika kama kuna vifo ama majeruhi waliotokana na ajali hiyo.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI TV na MwanaHALISI Online kwa habari na taarifa mbalimbali 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Chadema waendelea kulilia katiba mpya

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kudai upatikanaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumshtaki Rais Samia

Spread the loveCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetishia kumfungulia kesi ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yang’ara maonesho OSHA

Spread the loveBenki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta...

Habari MchanganyikoKimataifa

Ruto amteua Kahariri kuwa mkuu wa majeshi

Spread the loveRAIS wa Kenya, William Ruto, amemteua Jenerali Charles Muriu Kahariri,...

error: Content is protected !!