Sunday , 12 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Polepole atoa salamu za mwaka mpya “tukatae wahuni”
Habari za Siasa

Polepole atoa salamu za mwaka mpya “tukatae wahuni”

Mbunge wa kuteuliwa Humphrey Polepole (CCM)
Spread the love

 

MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM), Humphrey Polepole amewaonya wale wote wanaoghushi mitandaoni na kuwaomba wananchi kwa mwaka 2022 “kazi moja ni kukataa wahuni mpaka kieleweke.”

3 Comments

  • Asante ndugu pole pole kama imeandikwa fungu la kukosa ni la kukosa ni vigumu kufutwa tuache fitina hazina faida

  • Mwalimu Nyerere aliwahi kusema “kukosoa na kukosoana, ni silaha ya mapinduzi.” Mimi simuogopi Polepole na hoja zake. Naweza kwenda bega kwa bega na hoja. Je, wewe umeshindwa kutoa hoja yako?
    Hatuwezi kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kuzima akili za wengine kwa kisingizio cha fitina.
    Hata Mungu alipingwa na asilimia 30 ya malaika.
    Je, umerekebisha wapi palipoonwa ni pabovu kwenye nchi yetu ya Tanzania? Sheria zipo, hazitumiwi. Kama kasema wahuni ni wale wasiolipa kodi. Wewe kinakuuma nini?
    Mama Samia keshamtuma waziri husika, kaingia bandarini usiku. Mwache Mama apate hoja za pande zote afanye uamuzi wake. Nyinyi mnaonyamazisha watu mnainyima Tanzania maendeleo chanya.
    Mama kasema bebeni mabango, lako liko wapi? Humsaudii Mama Samia, unajenga chuki. Kasema, asitupiwe gari bovu, bali aonyeshwe penye makosa ataangalia na kurekebisha.
    HONGERA MAMA SAMIA KWA UKOMAVU WA KISIASA NA KIUCHUMI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Spread the loveMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk....

Habari za SiasaKimataifa

Palestina mwanachama wa 194 wa UN

Spread the loveBaraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa limepitisha kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

Spread the loveVIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti...

error: Content is protected !!