Wednesday , 8 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Mdee aibua sakata la machinga bungeni, serikali yajibu
Habari za Siasa

Mdee aibua sakata la machinga bungeni, serikali yajibu

Spread the love

 

SAKATA la kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ katika maeneo yasiyoruhusiwa nchi nzima, limetua bungeni kwa Mbunge wa Viti Maalum (asiye na chama), Halima Mdee kutaka maelezo ya Serikali ilivyojipanga kuwasaidia ili waweze kufikia ubilionea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Ni leo Alhamisi, tarehe 4 Novemba 2021, wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni jijini Dodoma ambapo Mdee aliyefukuzwa Chadema, alipopewa fursa na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuulizwa swali la nyongeza, akagusia suala hilo.

Mara baada ya kuuliza, Dk. Tulia alimwita Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba aweze kulitolea majibu.

Fuatilia video hii, ujionee swali la Mdee pamoja na majibu ya Waziri Mwigulu.

3 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia: Matumizi ya nishati safi sio anasa, ladha ipo

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya nishati safi kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Kuanzia Agosti marufuku kutumia mkaa, kuni

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mwendokasi Kigogo – Segerea kujengwa awamu ya 5

Spread the loveNaibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Festo Dugange...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Rais Samia ni Mzanzibari: Shida Iko Wapi?

Spread the loveTAIFA linakabiliwa na upungufu wa fikra sahihi. Upungufu huu unaonekana...

error: Content is protected !!