Sunday , 19 May 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Corona dunia yafikia milioni 21, waliopona 773,122
Kimataifa

Corona dunia yafikia milioni 21, waliopona 773,122

Spread the love

MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 21.8, waliopona milioni 14.5 huku waliofariki dunia kutokana na ugonjwa huo wakiwa 773,122. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).

Mtandao wa worldometer leo Jumatatu tarehe 17 Agosti 2020 unaonyesha, Marekani inaongoza kwa kuwa na maambukizo milioni 5.5, waliofariki 173,128 na waliopona milioni 2.9.

Brazili ni taifa la pili dunia likiwa na maambukizo milioni 3, waliopona milioni 2.4 na waliofariki dunia 107,879.

China ambako COVID-19 ilianzia mwishoni mwa mwaka 2019, ni taifa la 33 duniani ikiwa na maambukizo 84,849 kati ya hao, waliopona ni 79,603 na waliofariki dunia wakiwa 4,634.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifa

Bunge kumuweka katibu mkuu wa EAC kikaangoni

Spread the loveAliyekuwa Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Peter...

Kimataifa

Palestina mwanachama wa 194 wa UN

Spread the loveBaraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa limepitisha kwa...

Habari za SiasaKimataifa

Israel yatia shubiri Gaza wakisherehekea Hamas kusitisha mapigano

Spread the loveWAKATI kundi la Hamas huko Gaza likitangaza kuridhia pendekezo lao...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mbivu, mbichi urais wa Ramaphosa mwezi huu

Spread the loveMWISHONI mwa mwezi huu, raia wa Afrika Kusini watapiga kura...

error: Content is protected !!