Tuesday , 30 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa
Habari za SiasaSiasa

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

Rais John Magufuli
Spread the love

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu waliopo kwenye gereza kuu la Butimba, jijini Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Kiongozi huyo wa nchi yupo ziarani jijini Mwanza ambapo ametembelea gereza hilo. Hata hivyo, mahabusu hao walipata fursa ya kumweleza Rais Magufuli changamoto wanazokumbana nazo.

“Hapa (gerezani) ni kama mtakuja, mimi ni kama mfungwa mtarajiwa, uongo?” aliwahoji wafungwa na mahabusu aliowatembelea.

Baada ya kuwauliza wanakula kiasi gani kwa wiki, Rais Magufuli aliwaeleza wakuu wa gereza hilo kuwa atawapelekea ng’ombe watatu na magunia 15.

“Sasa siku hiyo chinjeni ng’ombe na mpike mle. Ni nyinyi askari pamoja na hawa vijana, kula pamoja kunajenga upendo,” amesema.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Mavunde aomba bilioni 231.9 bajeti wizara ya madini

Spread the loveWAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde leo Jumanne amewasilisha hotuba ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amjibu Fatma Karume kuhusu Rais Samia

Spread the love  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Watanzania iungeni mkono Chadema uchaguzi 2025

Spread the loveMWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, amewataka watanzania wakiunge...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataja miradi ambayo Tanzania inashirikiana na IDA

Spread the loveRais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu amehutubia...

error: Content is protected !!