Friday , 26 April 2024

Day: November 11, 2020

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atua Ubelgiji, aahidi makubwa

KIONGOZI wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amewasili salama jijini Brussel, nchini Ubelgiji leo asubuhi ya Jumatano tarehe 11 Novemba 202. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ‘awaita’ ACT-Wazalendo mezani

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, yuko tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa, kuendesha Serikali kama ambavyo Katiba ya Zanzibar...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi atoa matumaini Z’bar, awaonya watumishi

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, atawachukulia hatua kali watumishi watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao kwa kigezo cha kusubiri maagizo kutoka kwa...

Habari za Siasa

Mwakilishi mteule ACT-Wazalendo afariki dunia

MWAKILISHI Mteule wa Pandani kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Abubakar Khamis Bakar (69) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano tarehe 11 Novemba 2020,...

Habari za Siasa

Magufuli kuhutubia Bunge Ijumaa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli atalizindua Bunge la 12 Ijumaa tarehe 13 Novemba 2020 sa 3:00 asubuhi jijini Dodoma....

Habari za Siasa

Lissu alivyopata hati ya kusafiria

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, “sikimbii vita, nakwenda kufungua uwanja mwingine wa mapambano...

error: Content is protected !!