Friday , 26 April 2024

Day: February 18, 2020

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amtaka JPM urais 2020

ZITTO Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutaka kupambana na Dk. John Magufuli, katika kugombea urais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

‘Kasi ya JPM kukopa imezidi ya JK’

KIASI cha fedha kilichokopwa nje ya nchini na Rais John Magufuli kwa miaka minne, kimezidi kile cha Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa miaka...

Habari za SiasaTangulizi

‘Katibu Mkuu wa Chadema’ ajiunga CCM

ALIYEKUWA swahiba mkuu wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicenti Mashinji, ameondoka ndani ya chama...

Habari za Siasa

Zitto ana kesi ya kujibu – Mahakama

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekutwa na kesi ya kujibu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Umauzi huo umetolewa...

Habari za Siasa

Chadema yalia na NEC

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuongeza muda wa zoezi la uboreshaji daftari la wapiga kura,...

Habari za SiasaTangulizi

Kishindo cha Zitto; Sina hofu ya vitisho

HOFU anayojengewa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ndani na nje ya Bunge haimyumbishi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Anaripoti...

error: Content is protected !!