Friday , 26 April 2024

Day: March 21, 2019

Habari za Siasa

Rais Magufuli aifungulia Qatar milango ya uwekezaji

RAIS John Magufuli ameiomba nchi ya Qatar kushirikiana na serikali yake kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo uzalishaji wa nishati ya...

Habari Mchanganyiko

Zitto, Mwigulu Nchemba, waparurana

MBUNGE wa Iramba (CCM), Mwigulu Nchemba, amemvaa  mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, kwa kile alichokiita, “kukosa utu.” Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Tanzania yatangaza fursa za Utalii kwa wawekezaji

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Professa. Adolf  Mkenda, amesema serikali imeanza mipango na mikakati itakayosaidia wizara hiyo kuongeza ukusanyaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge CUF, wamtega Lipumba

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amewekwa njia panda na baadhi ya wabunge wa chama chake hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari Mchanganyiko

Mashine feki za EFD zaitesa TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inateswa na wafanyabiashara wasio waaminifu na wanaotumia mashine feki za kielektroniki za kukusanyia mapato (EFD). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Charles...

error: Content is protected !!