Friday , 26 April 2024

Day: March 11, 2019

Michezo

Mchezaji Yanga afungiwa mechi tatu

BEKI wa klabu ya Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amefungiwa michezo mitatu baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga kiwiko mchezaji Andrew Simchimba kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM wamnanga Lowassa

WAKATI wengine wakimtete Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 na kuamua kuhamia CCM tarehe 1 Machi 2019, Umoja...

Michezo

Simba, Yanga zapigwa faini kwa kutumia mlango usio rasmi

KAMATI ya uendeshaji Ligi Kuu Tanzania Bara (kamati ya saa 72) imezitoza faini klabu za Simba na Yanga kwa makosa ya kutumia milango...

Michezo

Manara: Jumamosi ‘DO or DIE’

KUELEKEA mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi AS Vital kutoka nchini Congo, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa...

Habari za Siasa

UVCCM wabadili gia kwa Lowassa

KEJELI na maneno ya dhihaka yaliyovurumishwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Edward Lowassa wakati akihamia Chadema, sasa yamebadilika. Anaripoti...

Habari za Siasa

Maalim Seif aendesha kikao mpaka saa 7 usiku

CHAMA cha Wananchi (CUF) bado kinapita kwenye tanuri la moto ambapo, Maalim Seif Shariff Hamad, katibu mkuu wa chama hicho jana tarehe 11...

Habari Mchanganyiko

Lugola: Kamateni wanaomtukana rais

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ameliagiza Jeshi la Polisi, wakuu wa mikoa pamoja na wakuu wa wilaya kuwasweka ndani wanasiasa wataofanya...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atokomea, mahakama yaamuru ‘ajisalimishe’

KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini imekwama baada ya kiongozi huyo mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na wadhamini wake...

Habari za SiasaTangulizi

Siri zavuja mgogoro Lipumba Vs Maalim Seif?

MIKAKATI inayofanywa na Kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambiliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ina lengo...

error: Content is protected !!