Friday , 26 April 2024

Day: March 2, 2019

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli, Kikwete waongoza salamu za mwisho kwa Ruge

RAIS John Magufuli leo tarehe 2 Machi 2019 ameongoza mamia ya watu ikiwemo baadhi ya viongozi wa kiserikali, kuuaga mwili wa Ruge Mutahaba....

Habari Mchanganyiko

Makonda asema msiba wa Ruge umempa wakati mgumu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameelezea namna alivyoupokea msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

Habari Mchanganyiko

Familia yaelezea ushujaa halisi wa Ruge  

WASIFU uliosomwa na Mwachi Mutahaba ambaye ni mtoto wa kwanza wa Ruge Mutahabu, mwanahabari aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG), umeibua taswira...

Habari Mchanganyiko

Mauaji ya watoto; IGP Sirro anasa waganga wa kienyeji 65

JESHI la Polisi limekamata maganga 65 katika Mkoa wa Simiyu na Njombe kwa tuhuma za kuhusika na mauwaji ya watoto yaliyotokea Januari 2019. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Mashinji: Lowassa anajua anachokifanya, Prof. Lipumba acheeeka

HATUA ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa kutangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana tarehe  Mosi Machi 2019, kumeibua mjadala mpana uliobeba...

Habari za SiasaTangulizi

Kilichomng’oa Lowassa Chadema hiki hapa

WAZIRI mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa, ametangaza kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM). Lowassa aliondoka CCM katikati ya mwaka 2015, kufuatia chama hicho...

error: Content is protected !!